NAFASI Za Kazi UTUMISHI Zanzibar
Tume ya Utumishi wa Umma ni taasisi huru iliyoanzishwa na Serikali kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 chini ya Kifungu cha 117, 2010 na Ibara ya 33 (1) ya Sheria ya Utumishi wa Umma namba 2 ya mwaka 2011.
Tume hiyo kwa ujumla ina jukumu la kusimamia Watumishi wa Umma kwa uadilifu na kufuata misingi ya Utawala Bora na kusimamia masuala mbalimbali ya mchakato wa kuajiri nafasi za serikali Zanzibar, Tanzania. Tume hiyo inatangaza nafasi za Kazi Kwa Watanzania wenye nia, ari Pamoja na sifa stahiki kujaza nafasi hizo kama zilivyoainishwa Katika Tangazo la Ajira hapa chini. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Zanajira Zanzibar