Mchezaji Wilson Nangu ni Mnyama

SALUM
By -
0


 Mchezaji Wilson Nangu ni Mnyama

Klabu ya Simba SC imemtambulisha beki wa Kati, Wilson Nangu kutoka klabu ya JKT Tanzania FC Kwa Mkataba wa Miaka mitatu.

Nangu mwenye Umri wa miaka 23 ni miongoni mwa wachezaji vijana wenye vipaji vikubwa ambaye anaweza pia kutumika kama mlinzi wa kushoto. Nangu amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kwaajili ya mechi za kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Congo na Niger. Wilson Nangu anatua Simba kuimarisha safu ya ulinzi ya Simba Kwa Msimu Mpya wa 2025/2026 akiungana na mabeki wengine wa kati Abdulrazak Hamza, Chamou Caraboua na Rushine De Reuck.

Tags:

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default