KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025

SALUM
By -
0


 KUITWA Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama 2025, Tangazo la Kuitwa Kazini Tume ya Utumishi wa Mahakama JSC 2025

Kufuatia kukamilika kwa usaili wa waombaji wa nafasi za kazi kwa kada mbalimbali zilizotangazwa na Tume ya Utumishi wa Mahakama tarehe 03 Juni, 2025, Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama anawatangazia waombaji wafuatao hapa chini kuwa, wamefaulu usaili na kuchaguliwa kuajiriwa katika Utumishi wa Mahakama.

Wahusika wote waangalie barua zao za ajira kwenye baruapepe zao (Email) na kufuata maelekezo yaliyotolewa kwenye barua husika. Kwa wale ambao majina yao hayakutokea katika Tangazo hili, wafahamu kuwa kwa sasa hawajafanikiwa kupata ajira kwa nafasi tajwa. Orodha ya majina ya walioitwa kazini kwa kada mbalimbali Tume ya Utumishi wa Mahakama.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA


Tags:

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default