MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02 September 2025

SALUM
By -
0


 MAJINA ya Walioitwa Kazini UTUMISHI 02 September 2025


Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kati ya tarehe 02-11-2024 na tarehe 12-06-2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya majina haya pia inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye kanzidata (Database) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

KUITWA KAZINI TAASISI MBALIMBALI ZA UMMA 02-09-2025

Tags:

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default