KUITWA Kazini NFRA Tanzania, Oktoba 2025

SALUM
By -
0


 KUITWA Kazini NFRA Tanzania, Oktoba 2025

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) anapenda kuwataarifu Waombaji Kazi wa nafasi mbalimbali walofanya usaili tarehe 01 Septemba, 2025 hadi 04 Septemba, 2025 kuwa matokeo ya waombaji kazi waliofaulu usaili huo na kuitwa kazini ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili.

Aidha, waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuripoti tarehe 02 Oktoba, 2025 kwaajili ya kuanza kazi wakiwa na vyeti halisi (Original Certificates) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendlea ili vihakikiwe kabla ya kupewa Mkataba. Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD PDF YA MAJINA

Tags:

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)
3/related/default