NAFASI Za Kazi Akiba Commercial Bank, Oktoba 2025
Akiba Commercial Bank (ACB) ni benki ya biashara nchini Tanzania, ambayo ilianzishwa mwaka 1997 na wafanyabiashara wa Kitanzania kwa lengo la kuhudumia mahitaji ya kibenki kwa watanzania maskini zaidi ambao hadi sasa walikuwa hawana benki na hawahudumiwi na benki kubwa za biashara.
Benki hiyo inatafuta kuajiri watu wenye nia, ari na sifa stahiki kujaza nafasi Mbalimbali zilizoanishwa Katika Tangazo hili. Kuona Nafasi hizo Pamoja na jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali Donwload PDF ya Tangazo hapa chini.