NAFASI Za Kazi Johari Rotana Hotel, Oktoba 2025
Johari Rotana ambayo ni hoteli ya Biashara ya nyota 5 inawaalika Watanzani wenye Sifa stahiki kujaza nafasi mbalimbali zilizoainishwa hapa chini
Maelezo Kamili ya Ajira hizi na jinsi ya Kutuma Maombi tafadhali bonyeza link ya Tangazo husika hapa chini. Nafasi Mpya Za Kazi Kutoka Johari Rotana Hotel